humourita/POWER TALK NA WALE:WORLD IKO FULL NA NUTCASES IGNORE THEM.DUNIA IMEJAWA WAJINGA WENGI WAPUUZILIE MBALI NA HUO UPUZI WAO WOTE WABEBE WENYEWE

FAULU SANA

THIS GUY ALIANDIKA GEM JANA .WALE

FIRST:

HAPA Humourmob  we did just that na tumepepea mbali sana.na hii ni STARTER.by tha time tufikie desserrt!!!!!!!!!!

nakuambia the glory is here!!!!!!

come-sa

THA COMICA GLORY IS HERE!!!!!!!!!!!!!!!!!!

TUKO DIGITALLY DUNIA YOTE HAPA,coz tuli -migrate a year kabla ya ma woes……………za ku-hama.

hapa tunaona mbali sana…………………………………………..na tuko mbele mbaya!

OTA NDOTO

1. wale (mr.those ones akinyemi) anasema:if none is playing mziki…..ili u-dance to?..i create in ur head na start ku dance.don’ make it about tha audience……….MAKE IT ABOUT YOU.

EMEN

2. FIRST LAW YA HUMAN STUPIDITY IZ THAT ALWAYS NA INEVITABLY KILA MTU UNDERESTIMATES THE NUMBER YA STUPID INDIVIDUALS IN CIRCULATION.

nakuambia si NI WENGI KULIKO CASES ZA PATTNI KORTINI?????

WASKIA??????????? WAIGNORE KA SHENZI..AS IN LET THE FOLLY IN THEIR FOLIO BAG LIE.ILALE

3. USI EXPECT MORE TOKA KWA  WATU THAN YU DEMAND OF WEWE MWENYEWE.

UNAEZA DIRECT EXPECTATION YAKO TOWARDS A STUPID PERSON!

HAPA hatuna leg room na spare room ya failures na folly-ers.

LEGO

hapa ni ku aim kuvunja rekodi ya GUINNESS BK YA WORLD RECORDS KWA KUANGUSHA HUMOURMOB MILIONI MOJA FOR A START!

alafu toka hapo kazi iendelee.emen?

tuko wazito hapa.fully loaded!

AFIKIA

4. STUPIDITY NI LACK YA INTELLIGENCE(tuko na personal boinett apa ako radar)reason wit au sense au understanding.note kuwa si kila msee ni all round stupid.anaeza jingi-ka one area na amejibeba ki-erevu in another

5. uki- base matarajio yako kwa mtu hana intelligence una hitaji uko in trouble.

nawe unadhani ni samson ako in trouble na delila kinyozi’s na hair designers………….HAAAAAA!!!

mashona

6.  ACHA MATARAJIO YAKO YAWE INTERNAL.sio ex-ternal.mwisho-we unaeza find out ulikoenda wrong na ku develop capacity for where yu are going

7. masaba ni kwamba a stupid mtu causes losses kwa mwingine while yeye hapati gain yoyote na hata huenda hasara!

ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.shame na disgrace !**$%??

8.  why should yu worry about opinion ya someone whose opinion has no bearing or effect on your life????????????GEM KABISA(hapa ni GOD ndio manager)NA ANAJUA JOB YAKE VILIVYO

9. REFUSE KU-KUWA A DEPOSITORY FOR NEGATIVITY then hao walanguzi wa ujinga upuzi ushenzi stupidity watatafuta kwingineko

TEMBEZA

10 .dont empower THE STUPIDITY YA WATU TO GET TO YOU.USI WA ALLOW .COZ they thrive on the effect negativity yao iko nayo kwa watu                 WHAT A GEM?????

11. NON stupid people wana always under-estimate the damaging power of stupid individuals:HII NI CIPOLLA’S 4TH LAW

12. THE CHOICE YA KU WEZWA NA WALANGUZI WA NEGATIVITY IKO ENTIRELY UP TO YOU

13. NO MATTER HOW NEGATIVE THEY COME……KUMBUKA NO ONE CAN MAKE YA FEEL INFERIOR BILA YOUR CONSENT.USIITIKIE.

SAFARY

14. AND THAT SUCCESS IS THE SWEETEST FORM OF REVENGE!

YES WE CAN

SEMA NA TENDA

BELIEF

HAPA NI KAMA NAKUMATT YOU NEED IT (knowledge na skills)

YOU GOT IT

and there’s more in store just for wa-viewer wetu .hii pharmacy ya laughter ndio tha best medicine KUNA DAWA!

SUCCESS

WE WISH WA VIEWERS  WETU A NEW MARCH A NEW MONTH  AND MARCH ON .

hatujasahau this jamaa

MARCH-ISIO SIO MAN OV THE MATCH NI MAN OV THA MONTH NI MARCH.ISIO
MARCH-ISIO
SIO MAN OV THE MATCH
NI MAN OV THA MONTH
NI MARCH.ISIO
ITALIA
HUNK? MACHO-MAN ITALIA/IT WILL CRY!
MARCHISIO
MARCH-ING ON……………………………………………………… KI MARCH HII SIO
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s