HUMOURITA NA………. to MODERATE …HANNAH’S PRAYER(as requested )

soma the neno believe neno. itakutetea na ku-ku shindia one day.
soma the neno
believe neno.
itakutetea na ku-ku shindia one day.

HANNAH’S PRAYER OF PRAISE

BIBLIA SAYS……………………………..THEN HANNAH PRAYED

2:1-10

Hannah praised GOD for HIS ANSWER to her prayer for a son.the theme of her poetic prayer is her confidence in GOD’S SOVEREIGNTY and her thankfulness for everything HE had done.MARY THE MOTHER OF JESUS modelled her own praise song ,THE MAGNIFICAT,after hannah’s prayer (luke 1:46-55).

like hannah and mary,we should be confident of GOD’S ultimate control over the events in our lives and we should be thankful for the ways in which GOD has blessed us.by praising GOD for all good stuff na gifts,we acknowledge HIS ultimate control over all the affairs of life.

2:2

HANNAH praised GOD  for being a ROCK :firm,strong and unchanging.in our fast paced world,friends come and go,and circumstances do change.its difficult to find a solid foundation that will not change.those who devote their lives to achievements,causes or possessions have as their security that which is finite and changeable.the possessions that we work so  hard to obtain will all pass away.but GOD is always present.

HOPE IN HIM HE WILL NEVER FAIL

2:3

NO DOUBT as HANNAH said these words………she was thinking of peninnah’s arrogance and chiding.HAANNAH did not have to get even with peninnah.she knew that GOD is all knowing and that HE will JUDGE all sin and pride.

HANNAH wisely let judgement up to GOD.RESIST the temptations to take justice into your own hands.GOD will weigh your deeds as well as the deeds of those who have wronged you.

2:10

because we live in a world where evil abounds and where war na terrorism always threaten…………….we may forget that GOD is in control.HANNAH saw GOD as solid as 1.a  rock. (2:2), 2…the one who knows what we do (2:3), 3…sovereign over all the affairs of people (2:-4-8) and 4…. the supreme judge who administers perfect justice (2:10).

remembering GOD’S SOVEREIGN control helps us put both world and personal  events in perspective.

HANNAH……her strengths……..

*was the mother of samuel who was also Israel’s greatest Judge

*fervent in worship,effective in prayer

*willing to follow through on even a costly commitment

HANNAH……………..her weaknesses

*she struggled with her sense of self-worth because she had been unable to have children

lessons from her life::::::::::::::::::::::::::::::

*GOD HEARS AND ANSWERS PRAYER

*our children are gifts from GOD

*GOD is concerned for the oppressed and afflicted.

HANNAH toka Ephraim,was a homemaker na mother of samuel and three other  sons and two daughters.she was the wife of Elkanah.her story is told in 1 samuel 1-2

hannah’s prayer shows us that all we have and receive is on loan from GOD. hannah might have had many excuses for being a possessive mother.but when GOD answered her prayer she followed through on her promise to dedicate samuel to GOD’S SERVICE

she discovered that the greatest joy in having a child is to give that child fully and freely back to GOD.she entered motherhood prepared to do what all mothers do eventually and that’s letting go of their children.when kids are born,they are completely dependent upon their parents for all their basic necessities.this causes some parents to forget the same kids will grow to independence within a span of a  few years.to be sensitive to the different stages of that healthy process will greatly strengthen family relationships,resisting or denying that process will cause great pain.we must let go of our children gradually in order to allow them to become mature independent adults.

THE finishing touches

shika neno itakusimamia siku ya rainy day
shika neno itakusimamia siku ya rainy day

…………………………

*GOD’S purposes are not thwarted by human shortcomings

*when our systems sem too gnarled to be unraveled or salvaged,we need to remember that GOD not only displays HIS his creativity by making things from scratch,but by also bringing order and beauty out of messes.

*ignorance is not a good excuse for insensitivity

*JEALOUSY is NOT  good excuse for BAD BEHAVIOUR

*GOD WORKS IN THE MIDDLE OF GRAT MESSES

GOD will FIRE your opposers and ENEMIES and the JEALOUS from your office that HE has blessed you with

Advertisements

THE witches kambini…………….the desperate …………………………….failures……………………….

MBA:university ya MUNGU::::::::::::::::::::::::::

unafunzwa kumjua shetani na wafuasi wake kwa university ya MUNGU…………….kaa kwa nyumba ya MUNGU  na atakufunza watu wanaokuzingira ni wa aina gani na akuepushe na u-shetani wao.aliepusha DANIEL na nia mbaya za watu wa hiyo eneo alilokuwa akiishi in exile…………….. na hizo mipango walizompangia DANIEL ni hao waalimezwa nazo wenyewe.

*palitokea kitoto kichawi kwa kampuni ya maji kisha mama yake akafa kwa sakata ya wamama wachawi kisha witch kid au witch man akaingia pia kwa sakata ya wamama wachawi wa kampuni ya H20.

wakaingia eti wanataka ku control kila nyumba ya wa kaazi wa kambi ya maji na uchawi wao

iko mama alitoka maybe kanisa sunday moja akakuta nyumba yake (na ni ya kampuni…………..)imeteketea na aliyekuwa around iyo house ikiteketea ni mchawi wa kambini na ikisha burn vile walitaka ndio alienda kuita mwenye hiyo nyumba (alikuwa tu pia kazini apo kambini)ndiposa wakaanza kujifanya watu wema eti wanaingilia kati.utawasoma over the years na utawajua…………………wanajifanya eti kutakakuuliza kwa nia mzuri na ndio ma planner wa kila kitu kwa hiyo kambi.iko nyumba iliibiwa once upon a time kwa hiyo kambi na wali participate na wengine wa wenye walihusika kwa hiyo wizi walifutwa kazi kwa kambini na kutimuliwa nje ya kambini na tokea apo ndio wenye ile nyumba walijua wamezingirwa na mashetani watu na wakaenda kwa side ya ushindi wa MUNGU……………………. na hawajawai wachilia nafasi tena kwa yeyote na hawaaminingi mtu yeyote………………………………………………………………

BIblia inasema ako cursed anaye trust in man……………………

uzuri ni kuwa after that wizi,,,,,,,,,,,,,,,,,,kambi ilileta security measures ambazo ziko in force hadi this day……….hata inakuwa walled kwote ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,inaendelea. …….kuundwa ki gated community

{*wakisha shindwa kufanya kazi kwa nyumba yako na cohorts wao………………………………………..}

endelea na storo.......................
endelea na storo…………………..

[::::::::::::::::::::::::::::::cohorts wao ni wale kama maid au mjakazi unaweza leta ama kuita wakufanyie casual work………………………..in obango kuna need for casual work na wenye wanazi seek,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,so wachawi wa kambini wakisha ona umeita mtu wa kufua hivi wanangoja later on  wakitoka nje kuenda ma shops then wana anza  kutafuta huyo mfuaji na kumwuliza mambo ya ki kwako na kumpa vitu yao ya ki sorcery ndio ukimwita tena ajifanye ni kama anamwaga maji kwa bafu walakini ni zile sorcery loads za paraphernalia wanampa ili akuwekee kwa nyumba

ya kushangaza ni the level of desperation wanakuwanga nayo katika kutaka vitu vyao vya ki sorcery kwa manyumba ya wakaazi wengine.

wamejaribu kukesha nje usiku wakirusha vitu juu ya roof za wakaazi wengine wameshindwa

wametuma genies juu ya roof za wakaazi fulani ikawa powerless sababu sio kila mtu ana fall under jurisdiction ya shetani

wamejaribu ku grab maji ya kambini waka divert ikiwe tu kwao ndio wasioweza kuroga waweze kuingiana nao juu ya maji kampuni ika wa lapa kwa hiyo kutengeza supply ya maji kwa kila mkaazi kambini

mvua ikinyesha sana kama siku hizi wanarusha tu vitu kwa wenyewe ili u- assume ni mvua ina rain hard na ku fall vitu on your roof,door,ama window

wamejaribu kutuma hao watu wa kufua na paraphernalia zao zote na nguvu zao zote na wame Fail an epic Fail.

MUNGU ALISHAKATAA kila weapon ya wachawi wa kambini kufaulu hapo kwa hiyo nyumba wako very desperate kufanikisha u sorcery wao  ndani na wanashindwa-ng-wa like forever kama vile baba yao shetani alivyoshindwa for once and for all hapo CALVARY.na kila kuchao wanatafuta eti..mbinu mpya ya kufaulu hapo

hata unatoka nje ya nyumba as early as saa moja usiku na the local witch wa kambini ako apo nje anaangalia tu mlango yako ni kama ndio t v ya kuona habari ya saa moja.unapo fungua hivi mlango anakimbia haraka anarudi kwake.imagine hapo ndipo uchawi wao umewafikisha …………………….maisha yao ni kukaa nga tu na kuangalia iyo nyumba kama t.v na wameacha tv yao kwa nyumba………………………………………una kutanga tu wali-rogwa na hiyo mlango ya iyo nyumba wana kuwanga tu wamegeuka ma statue kwa kuangalia hiyo nyumba na mlango ya nyumba na main gate ya hiyo nyumba………………………………………………

the local witch wa kampuni ameweka ma dolly nyeusi ikielekezewa hiyo nyumba ………………………..maybe ni mwelekezi wake alimwambia hiyo ndio ita -work finally…………………………………………….wameweka kofia kizee ikielekea fence ya hiyo compound na hawafanikiwi…………………..wame elekeza sharpened sticks kwa fence na tap ya hiyo nyumba……………………………wametoa silaha zao zote za ki shetani na mapepo yote wanayo ya jua kuita toka kwa the grave,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,na majini yote wanaweza toa tanzania……………………………na ukora na conmanship ya kutuma ki mtu ajifanye stranger na aje  kwa hiyo nyumba eti anaulizia kazi ya kufua au directions ya kuelekea nyumba fulani(yet apo kambini kuna security kwa gate wa kuulizwa directions????????????????)na pia wenye hawaruhusu uingie kambini usipojua uendako au utakako………………………………………………………wachawi wa kambi wametumia watu kama hawa kujileta kwa hiyo nyumba na ukora yet hawajafaulu……………………na ni hao local witch na cohorts wake ndio wanatumana hao watu sababu wako banned kwa hiyo eneo.la hiyo nyumba.so wanatumia watu wasio julikana ama wasio tiwa shaka na wenyeji wa hiyo nyumba but kuna ujuzi MUNGU aliweka kwa wakaazi wa pale wanajua kila lisilo la KI-MUNGU  mara hiyo hiyo

………………wameshaua wakazi wa pale kwa kambi kisha wanaoishi pale wakisha enda nyumbani ku deal na loss yao………………………….hao local witch na familia yake( wote ni sorcerers hata baba hata watoto hata wa lower primary wote ni ukoo wa witchhood)wakaomba hiyo familia key ili wawalindie nyumba na kumbe ni kuzidi kutenda mazingaombwe yao pale na majingaombwe…………………………………wako na folly mingi na ujinga ndani ya ushetani wao huo ili ku deceive hiyo family isijue haswa walilolifanya

…………………si you kumbuka family ya kina yebei walitumia african tests kumsaka na kumpata yebei?????????????

wachawi wa kambini pia wanatumia mbinu hizo kuchocha hiyo familia wakishawa roga na kuwa chomea nyumba na kuwa ulia mtoto………………………………..ili wasiwai jua walilolitenda

but kwa MUNGU hakuna chochote cha giza halitaletwa wazi in broad daylight……………………………………so………………………….wachawi wa water company walishajulikana kitambo…………………

kwa hiyo nyumba wako very desperate kutenda majingaombwe yao …………..ujinga na mapepo yao combined,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wakatumia witch kid alikuwa ati anasaidiwa kusoma na jamaa yake after mama yake kufa,,,,,,,,,,,,,,,,,akawa cohort wa wachawi wa kampuni ya maji na anapewa vitu anaweka kwa hiyo nyumba ndani ya drum ya maji,kwa fridge,,,,,,,,,ukitoka uende mahali……………. wenyeji wanarudi wanapata ame pindua mpangilio wa nyumba akidanganya eti ametengeza nyumba kumbe anapanga ujingaombwe pale,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,witch kid alifika mahali anatamani watu wa iyo nyumba watoke waende ma shughuli kumbe ilikuwa ndio apate fursa ya kuleta wale sorcerers wa kambini kufanya ujingaombwe pale kama wenye nyumba hawako…………………………………………..

walishindwa kufanya kwa nje sasa wanataka njia yoyote ya kuzifanya ndani ya nyumba ya wenyewe………………….na hapo ndipo MUNGU ALIKATAA

MCHAWI cohort wao akajulikana kwa hiyo nyumba na MUNGU akamtimua kutoka kwa ile nyumba(kama nyoka ya cobra) ili akafanye u shetani wake jehanamu (kuna  room mingi jehanamu kwa wanaotaka kufanya maovu zao you wonder why ni lazima wanataka tu kuifanyia mahala ambapo GOD ameinua resistance ya ajabu ambapo hawafaulu ata kwa nini??) au kwengineko apart from the hiyo nyumba wako desperate kurogaroga na hawafaulu for over 10 years ama akaishi na hao wachawi wa kambini na wamfunze kila siri ya kazi zao????????

in short ni kwamba ule cohort wa wachawi wa kariobangi amapewa kazi na wachawi wa kambini ili aende kanisani kujifanya amekuja kama kila mtu walakini ukweli ni kwamba wameshashindwa kwa vyo vyote kufaulu kwa ile nyumba na sasa majingaombwe yao imewafikisha kwa kanisa eti hapo ndipo wanadhani watafaulu

na sauti ikanena::::::::::::::::::::::pastor anapiga kanisa duster inakuwa safi kisha nyoka mbili zinaingia humo kanisani,,,,,,,,,,,,,nyoka hizo zinazoonekana zikiingia kanisani ni huyo huyo cohort wa wachawi wa kariobangi wamefeli kufaulu kwa nyumba so wanadhani wataharibu baraka za MUNGU kwa hiyo nyumba wakipitia kanisani.so cohort witchkid ako kwa kanisa anajifanya…………………..amekuja ku sali bali ni kueneza majingaombwe za wachawi wake wa kambini pale kanisani maana kanisa ni kwa yule pastor ambaye anaharibu kila kazi ya hawa wachawi kambini na wamejaribu kukimbiza u pastor wake na wakashindwa so ikabidi watumie mtu anayejifanya kuwa ni jamaa yake ili waanze tena kazi ya kusambaratisha u- pastor wake sababu yeye ndio thorn in their flesh kuwazuia kufaulu kwa hiyo nyumba wamefail kufaulu miaka yote………………walakini asiku-fool wewe mkristo;…………………………nyoka akija amekuja kuuma na kuua………………………………shetani akija ni ku KILL STEAL NA KU DESTROY

wenye wako pale kanisani watajulishwa soon sana  na huyo nyoka ameingia pale hatapata kwa kujificha sababu siri yake pale kanisani imeshajulikana ni aliyelaaniwa ataka kuiba baraka za waliobarikiwa na BABA. na hiyo kanisa iko na vision yenye kila failure hataweza kushamiri pale.ni church ya visions makubwa……………………..na wa failures kama witch kid huyu ,,,,,kama wengine mbele yake waliojaribu kuangusha huduma ya huyo pastor ata fail tu na tutaweka up date hapa.ni MUNGU anatengeza ushuhuda kwamba watakukimbiza mpaka hata ndani ya kanisa ama chini ya mwamba  ambapo  MUNGU alikuweka uwe  salama na hawatafaulu.sasa tuulize,,,,,,,,,,,,,,,,wakisha shindwa kuku weza ki dunia na kwa dunia,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,watakuweza sasa ukiwa ndani ya nyumba ya MUNGU kwa ulinzi mkuu kwa altar ya MUNGU????????????

hawawezi.

iko mama wa ki kariobangi alifanya hivyo hivyo kwa huduma ya huyo pastor after kutumwa na wachwi wa kambini na ali fail na alitimuliwa na MUNGU, NA NENO LA MUNGU.

kuna mwenzake huyo mama ambaye ni baba pia amejaribu kusambaratisha huduma ya huyo pastor na akaweka maovu na machafuko yote kwa madhabahu ya huyo pastor pamoja na vitu vizito sana vya kumwangamiza huyo pastor na mshirika mmoja akaelezwa na MUNGU kilichokuwa kikitendwa na yule baba aliyejifanya pastor msaidizi…………………………na akagundulika,,,,,,,,,,,na akatimuliwa,,,,,,,,,,,

hivi ni kusema kuwa huyu cohort wa wachawi wa kambini hatawahi ku faulu kwa kanisa.hata awe na jehanamu yote ikimpatia back-up

MUNGU NI M-STRONG.ANALINDA WATU WAKE PAKUBWA.ANA WABARIKI HATA WENYE WIVU WAINUKE……..ANAWAFANYA HIVI

Psalm 1

Blessed is the one
    who does not walk in step with the wicked
or stand in the way that sinners take
    or sit in the company of mockers,
but whose delight is in the law of the Lord,
    and who meditates on his law day and night.
That person is like a tree planted by streams of water,
    which yields its fruit in season
and whose leaf does not wither—
    whatever they do prospers.

Not so the wicked!
    They are like chaff
    that the wind blows away.
Therefore the wicked will not stand in the judgment,
    nor sinners in the assembly of the righteous.

For the Lord watches over the way of the righteous,
    but the way of the wicked leads to destruction.

EMEN NA UMTEGEMEE MUNGU

humourita na THE WORD

kushindwa nayo???????
JESUS WENT THERE SO YOU NEVER HAVE TO.BEHOLD THE LAMB OF GOD……………………………………………………………… IT WAS FINISHED ZAMANI .YESU NI BWANA. AMEKAA AT THE RIGHT HAND OF GOD AFTER KU-CHAPA KAZI NA KUSHINDA NA A CLINICAL FINISH.

ALL the books of the universe cannot capture the WISDOM of the GOD of HEAVEN.HE muzzles the mouth of lions for the righteous.of coz ni DANIEL WAKE.HE breaks the teeth out of the mouth of the ungodly for the sake of the righteous.

DID you know rthat in HEAVEN hamna tears,,,,,,,,,,good-byes,,,,,,diseases,,,,,,,,,death,,,,,,,,,peacelessness,,,,,,,,,,,,?

BIBLIA INASEMA:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::and GOD will wipe every tear from their eyes………………………….

ANGELS watch you all the time and watch  over you at all times

PSALMS 91:11HOPE IN THE LORD ULINZI P.C. MALAIKA

UKO KWA WAR ZONE NA GOD AMEKUINULIA ULINZI F.C.AU P.C.PROTECTION CLUB YA HALI YA JUU SANA.UTAIONA HADI UONE MUNGU..EMEN.
UKO KWA WAR ZONE NA GOD AMEKUINULIA ULINZI F.C.AU P.C.PROTECTION CLUB YA HALI YA JUU SANA.UTAIONA HADI UONE MUNGU..EMEN.
THE PSALMS OF DAVID
THE PSALMS OF DAVID

OUR GOD IS AN AWESOME GOD

ni higher than the highest

richer than the richest.silver na gold zote duniani ni zake

yeye ni WISER than all the WISEST

STRONGER than all the STRONGEST

JOEL 2:31

MUNGU BABA MUNGU MKALI

GOD IS GOOD. BUT............................... ANAWEZA PIA KUWA MBAYA YA AJABU.AS MERCILESS TO THE WICKED VIBAYA. ALIONDOA KILA MTU KWA ENZI ZA NOAH COZ WALIMWUDHI TOO MUCH........ AND........    COZ HE CAN OGOPA MUNGU ASIKUONDOE PAP!
GOD IS GOOD.
BUT………………………….
ANAWEZA PIA KUWA MBAYA YA AJABU.AS MERCILESS TO THE WICKED VIBAYA.
ALIONDOA KILA MTU KWA ENZI ZA NOAH COZ WALIMWUDHI TOO MUCH……..
AND…….. COZ HE CAN
OGOPA MUNGU ASIKUONDOE PAP!

GOD’S angels will encompass you

GOD protects HIS people the righteous with the MIGHT and MAJESTY of HEAVEN

THE 3RD HEAVEN from where HE rules over the universe with HIS ANGELS

all nations that forget GOD  shall be turned into hell

don’t invite the wrath of GOD  upon you

jua kwamba the forces of evil ziko at work overtime to destroy everything on earth na kila good thing GOD gives to you.

try to be and to stay  peaceful,,,,,,,get your hopes up,,,,,,,,resist the devil and he will flee from you,,,,,,,,,,don’t act like the devil when you go through problems……………………………………………………….show traits of GOD/Fruits of the HOLY SPIRIT…….

keep yourself out of others’ business

path ya the righteous grows brighter na brighter kila kuchao………………….

amka hadi adui aogope kuamka kwako coz anajua utajua something ya importance for that day na hange taka ujue.

KUWA MJUAJI IN GODLY ISSUES

put on the whole armour of faith………………..think like someone that is born again…….stay in peace peace is power,,,,,,,stay peaceful GOD IS WORKING.thank GOD HIS mighty power is 2 work and if you don’ feel it ,,,,it don’t mean GOD is not doing anything.

GOD will always take care of you.believe that HE is working coz HE is faithful,,,,,na ame promise ku work on your stuff.

ephesians 6:15

andaa

dont cheza na christian coz yeye ni armed and dangerous kila wakati. MUNGU HALALI NA YESU  ni COMMANDER wa vita. hautaki kuona hiyo war zone........
dont cheza na christian coz yeye ni armed and dangerous kila wakati.
MUNGU HALALI NA YESU ni COMMANDER wa vita.
hautaki kuona hiyo war zone……..

jivike maomby jifunge jivae kivita

know who you are in CHRIST

Know the power that is available for you as a christian .and be an active christian sio passive

ji twike

wewe ni prince. sio eti wewe ni joseph prince........... wewe ni mwana wa GOD KING
wewe ni prince.
sio eti wewe ni joseph prince………..
wewe ni mwana wa GOD KING
pastor prince
YESU NI MAPUMZIKO YAKO NA USALAMA WAKO.TULIA MUNGU AKO NA CHARGER.AS IN HE IS IN CHARGE
mimi ndiye prince
mimi ndiye prince
UKO KWA WARFARE.USI WORRY ,,,,,,,, SIDE YA GOD NI YA WINNERS NA UTA WIN NA USHA WIN
UKO KWA WARFARE.USI WORRY ,,,,,,,,
SIDE YA GOD NI YA WINNERS NA UTA WIN NA USHA WIN

jesus saves  wa korintho asema god

JUA kuwa uko kwa vita

know enough of the word of GOD to recognise immediately every lie from satan kisha jua the word enough to tear down strongholds za the enemy

kuna ma different poisons na ma antidote zao……….na GOD has kila antidote for poisons za shetani .hata na forgiveness ni anti dote!ikiwa una bitterness……………..

recognise the lies of satan and know enough scriptures

the devil ako alive and well

usipojua GOD’S TRUTH  the devil can lie to you and deceive you like EVE.

JOHN 10:10

THE GOSPEL ACCORDING TO JOHN
THE GOSPEL ACCORDING TO JOHN

CARTOONA

WHAT CAN YOU DO BILA GOD?
WHAT CAN YOU DO BILA GOD?

SHEPHERD LORD

WEEZY

KILA choice una make FOR GOD  affects kila mtu in your blood line na yenye hauja make  for GOD pia affects kila mmoja in your blood line…………………………

tuna authority over the devil

luke 10:19

OVERCOMER

WEWE NDIO SUMU KWA NYOKA NA SIO the  round- about .............way vile inaenda-nga.......
WEWE NDIO SUMU KWA NYOKA NA SIO the round- about ………….way vile inaenda-nga…….

yeye ako na power pekee.unless you you give the devil the authority yako through inactivity na passivity kama vile ADAM DID AKA LOSE.THEN YESU CAME AKA REGAIN IT FOR MAN-KIND.

always the devil attacks your mind na evil thoughts…………so…………………renew your mind by the word of GOD

usipo-study the word na BIBLE hauta-kuwa VICTORIOUS

GET TO KNOW GOD FOR YOURSELF,,,,,,,,,,,,,,,,,,,usi have second hand faith,,,,,,,,,,,,,,,,,,,don’t know a person that knows GOD.know HIM PERSONALLY.

emen.

MY WORD. THE WORD NI UKWELI NA .....ITANIWEKA HURU
MY WORD. THE WORD NI UKWELI NA …..ITANIWEKA HURU
ASEMA THE LORD
ASEMA THE LORD

LUKE 22:32 (Make A Comeback)

MUNGU HAONA-GI IMPOSSIBLE NA HASHINDWI.YEYE NI I AM THE GREAT I AM
MUNGU HAONA-GI IMPOSSIBLE NA HASHINDWI.YEYE NI I AM THE GREAT I AM

kwa hivyo hiyo set back ikawa ndio your come back.
GOD WILL RESTORE TO YOU A HUNDRED FOLD.
HE did it for HIS servant JOB na atakutendea wewe pia.
COMEBACK yako iko mikononi mwa SIR GOD.AKIKUITA SAY GOD YES SIR.
UTAPOKEA YOTE YOUR HEART’S DESIRE.IT IS ALL IN GOD’S HANDS
THE BUCK STOPS IN HEAVEN AT GOD’S GREAT WHITE THRONE.
delight yourself in the LORD. and HE shall give you the desires of your heart.
EMEN.GOD IS NOT MAN THAT HE SHOULD LIE

numbers 23:19

AKISEMA ...AMESEMA........ WHEN JESUS SAYS YES NOBODY CAN SAY NO
AKISEMA …AMESEMA……..
WHEN JESUS SAYS YES NOBODY CAN SAY NO
MUNGU SI MWONGO NI SATAN IS BABA YAO LIES
MUNGU SI MWONGO NI SATAN IS BABA YAO LIES

SKIZA TUNES ZA GODLY WILLY BABA MWEKEZAJI

THE RIVER WALK

comeback

“But I have pleaded in prayer for you, Simon, that your faith should not fail. So when you have repented and turned to me again, strengthen your brothers.” (Luke 22:32 NLT)

Read:Judges 2:10-23, Judges 3, Luke 22:14-34, Psalms 92, Psalms 93:1-5, Proverbs 14:1-2

Relate:  When we make big mistakes, there is a small voice in the back of our heads telling us, “you can’t comeback from this one.” I wonder if this thought crossed Peter’s mind when he heard the rooster crow. He had been so certain that he would do anything for Christ, even go to prison or face death, yet he failed to admit to even knowing Jesus that same night. This is why he wept bitterly as he realized his failure. He had truly believed in his own strength to stand up for his beliefs, and he had failed.

Peter was not left in his failure. In…

View original post 308 more words

HUMOURMOB/MAMBO MOB TU

ma swala:::::::::::::::::::::::::::::::::::

we i say??????????? naulizaakooooo?????
we i say???????????
naulizaakooooo?????

MAUA ni?????????????????

na ENG lish????????

mi na think ni FENCES!

na wewwe???????????

UA 1  moja ni fence 1 moja

zaidi ya ua 1 ni maua au FENCES???!

Of coz we unadhani ni flowers???????????????

au ni MERU???!

ATUJAULIZA MAUA IN MERU TUMEULIZA MAUA IN ENGLISH

ambapo ni fences

lamentations

RISALA ZA RANGI RANGI KWA BWANA PETER  MARANGI PAINTER ALIVANISH TU AKAACHA RANGI NYUMA

ANA KWA ANA

ANA KWA ANA MEET UP
ANA KWA ANA MEET UP,,,,ak47 na t-bar-ijuka.wana talk ?????ime talk-ota kutokota

SO IVI rezently ak 47 au ann ana key guu taa………………………..alisafiriko new yoke sio yoke mpya ya ngombe but jiji new york………………………………………………………………………..where alipatana na ana tea bar-t-bar-i-juu car si u know tibaijuka????????????????????????????????????

baaaaaasssssssss.walipatana huko ana kwa ana

APES ::::::::::::::::::::::::::::::::::::PLANET OF THE APES APES RITIFS DRINKULA

NATAKA KU LEWA
NATAKA KU LEWA
BEEM
oooooo nataka kulewa lewa mi nataka ku lewa lewa…………………………i luv ku skiza diamond ka hobby

NEW APE CITY ASPEN

SO wakaty mmoja like last year ikawa banned kunywesha ma apes na chimps,babu………….baboons,,,,,monkeys,,,,,,,

so tukaenda majuu ku tafuta mixologist haswa for the APES…………………………………………….

na akaja na ma APERITIFS ZA APES apo .

made for apes aped by???????????????

BOXICOdrinks mixed for apes.

APE-ritif

and in uchokozi/uchukuzi

ukiona trailer thicker rd/thika????????

supa high way ata sio reeeefu viiiiiiileeeeeeee ka mlima sio high kama everest

so ukiona a trailer apo qwa thicker rd usidhani ni ya kubebea mizigo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ni akina MOMO wanaenda ushago.thicker.

asante ya punda ni mateke na asante ya ma arsonists ni ku TEKE-teza…………….hadi ku TEKE -TEA

na ya kickboxer????????????????van dammeku slash hewa.alafu atakata supply ya hewa??????

AKILI ni nywele ooooooooooooooooo        kila mtu ana zake oooooooooooooo kama hauna …………….basi tumia akili na enda best lady nunua weave alafu uwe na nywele alafu sasa uwe na akili??????

yeah!

brains or brawn??????????

ma-jam so once upon a friday………………………………………………mkenya alijipata jam…………akapigia msee simu ati ako stuck in a jam

soooooooooooo???? ni mkate unataka?????? ili upake jam au??????
soooooooooooo????
ni mkate unataka??????
ili upake jam au??????

eti uko kwa jam………………….as in ndani ya JAM??????????so ni mkate unataka uletewe???????????ama???????????

si uvumilie ………………..utakula mbivu………!!!!!!!ukifika.

ma gari.apo...... wa naija wana eat garri so wanakula ma gari????????????????????????????? swala jinga....................
ma gari.apo……
wa naija wana eat garri
so wanakula ma gari?????????????????????????????
swala jinga………………..

jam-bo

jamboree

katoi kajinga continua....

silly

mudomo baggy
mudomo baggy

katoi kajinga continua….mama kuja unipakie mkate……………………………………..

mama na uko:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::

saa ingine ma kazi zina need tu MAMASITA.sasa mimi mmoja??????? nifanye u- gatuzi wa u -pako na marangi
saa ingine ma kazi zina need tu MAMASITA.sasa mimi mmoja???????
nifanye u- gatuzi wa u -pako na marangi
hawker wa ma ndizi na ku peddle ma storo. cry au sob storo...........es........
hawker wa ma ndizi na ku peddle ma storo. cry au sob storo………..es……..mama hayupo……………..

mom

:::mimi sio peter marangi na sijui kupaka anything………………………….

perekea marangi akupakie hata permanently ukitaka

mimi hapa ni restive bread.miye ni dada ya festive bread ni ile tu sipendi party mob.i luv ku rest.kwa plate.
mimi hapa ni restive bread.miye ni dada ya festive bread ni ile tu sipendi party mob.i luv ku rest.kwa plate.
sema-ntics na sema antics.the bread story.nilianza na ma ngano.................................nikaenda bakery...........nikafika super ya nakssssss nakuwhat supa
sema-ntics na sema antics.the bread story.nilianza na ma ngano……………………………nikaenda bakery………..nikafika super ya nakssssss
nakuwhat supa
sura kama mkate.
sura kama mkate.

HUMOURITA :thanksgiving TO GOD and HANNAH’S PRAYER

boysammy mama

Hannah’s Prayer

And Hannah prayed and said,

“My heart exults in the Lord;
    my horn is exalted in the Lord.
My mouth derides my enemies,
    because I rejoice in your salvation.

“There is none holy like the Lord:
    for there is none besides you;
    there is no rock like our God.
Talk no more so very proudly,
    let not arrogance come from your mouth;
for the Lord is a God of knowledge,
    and by him actions are weighed.
The bows of the mighty are broken,
    but the feeble bind on strength.
Those who were full have hired themselves out for bread,
    but those who were hungry have ceased to hunger.
The barren has borne seven,
    but she who has many children is forlorn.
The Lord kills and brings to life;
    he brings down to Sheol and raises up.
The Lord makes poor and makes rich;
    he brings low and he exalts.
He raises up the poor from the dust;
    he lifts the needy from the ash heap
to make them sit with princes
    and inherit a seat of honor.
For the pillars of the earth are the Lord‘s,
    and on them he has set the world.

“He will guard the feet of his faithful ones,
    but the wicked shall be cut off in darkness,
    for not by might shall a man prevail.
10 The adversaries of the Lord shall be broken to pieces;
    against them he will thunder in heaven.
The Lord will judge the ends of the earth;
    he will give strength to his king
    and exalt the horn of his anointed.”

GOD IS FAITHFUL AND TRUE
GOD IS FAITHFUL AND TRUE
MUNGU ATAKUKUMBUKA
MUNGU ATAKUKUMBUKA

ombiMUNGU ANAJIBU MAOMBI.

Hannah’s Prayer

And Hannah prayed and said,

“My heart exults in the Lord;
    my horn is exalted in the Lord.
My mouth derides my enemies,
    because I rejoice in your salvation.

“There is none holy like the Lord:
    for there is none besides you;
    there is no rock like our God.
Talk no more so very proudly,
    let not arrogance come from your mouth;
for the Lord is a God of knowledge,
    and by him actions are weighed.
The bows of the mighty are broken,
    but the feeble bind on strength.
Those who were full have hired themselves out for bread,
    but those who were hungry have ceased to hunger.
The barren has borne seven,
    but she who has many children is forlorn.
The Lord kills and brings to life;
    he brings down to Sheol and raises up.
The Lord makes poor and makes rich;
    he brings low and he exalts.
He raises up the poor from the dust;
    he lifts the needy from the ash heap
to make them sit with princes
    and inherit a seat of honor.
For the pillars of the earth are the Lord‘s,
    and on them he has set the world.

“He will guard the feet of his faithful ones,
    but the wicked shall be cut off in darkness,
    for not by might shall a man prevail.
10 The adversaries of the Lord shall be broken to pieces;
    against them he will thunder in heaven.
The Lord will judge the ends of the earth;
    he will give strength to his king
    and exalt the horn of his anointed.”

HUMOURITA NA PICHA MOB NA MADAM C.S. NA MAMBO MOB………………………………………..

HAYA BASI HII JANA JIONI USIKU TULIKUWEMO??????????????U SWAHILI MIIIIINGIIIII

SO YESTER EVENING TULIKUWA KWA HAFLA YA BI C.S ANNE WAIGURU KU LAUNCH AFRICAN PHOTO MAGAZINE.

(na bwana na bi mitchener wako na nywele mob kwani ni wa akina samson?????)

ako smart apo,na ma clarity of diction apo,na ma swag na style …………….tuna sororanga na macho ya ma pixel ka za sea animals…………………………………..

trouser hapo sawa………………………..ma peep toe heels apo………………………………….u peeping tom ndio hii sasaa………….ilibaki tu microscope tusorore skin cells ngapi,,,,,,na mambo mingi kama hayo……ma bling kama barely there earrings(gold)??????????

bi C.S. ki basically said:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::;

ana support the youth

THE GOVT will support creatives

she loves professional photograpphers

GOVT’S is to create an enabling environment for kila mtu to compete equally na ku provide opportunities where possible

anne::::::::::::::::::::twaji commit 30% kwa youth in mashughuli za ki govt

bi anne ali shockiwako na storo eti ili take 2 yrs ku register BAKE(mi na ask for how long shood kitu i bake-iwe)???????????

at most ni masaa tu ku bake ma cake ma bread ni masaa tu

hii bake kaoka ka BAKE for 2 yrs??????????(hio ni jokes tu……………)

bi anne::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::don’t/you cannot completely  depend on the govt(kurukwa nayo)

ndio whi mi na say…..DEPEND AND TRUST IN GOD………………………..AND HE SHALL GIVE YOU THE DESIRES OF YOUR HEART…………………………………………………IYO TUNATOA KWA ZABURI

ETI govt has so many dependants………………………………….

yeah right!

stating na loop-eater hapa ana use ma loop holes ku eat style ya its my turn to eat.ata anaconda pia ako hapa imagine amekuvamia na anasema yes its my turn to eat………………………………………………………………….jokes…………..tu……………..

bi anne::::::::::::::::::::::::::ma blogger wana a  huge role to play

kumbe si ma players……………………..

humourmob F.C.???????????

hfc?????????????

of coz alini jazzzzzzzzzzz

eti wasee wakachimbe borehole turkana ………hii ni mambo na ma works……un idling oneself……………….

au kuua ma tsetse fliez in lambwe valley……………………………iyo ni kugrab kazi ya insecticide apo pap!alafu doom ita do???????

TUKAWA NA A BIRTHDAY PARTY PAP!

MA BEE DAY

HAPPY BIRTHDAY KWA BI ANNE WHY GURU
HAPPY BIRTHDAY KWA BI ANNE WHY GURU

IMAG2407

APO PIA TUME AMA NIMELETA U WILBRODA MWINGI KWA DIGITAL EVENT
APO PIA TUME AMA NIMELETA U WILBRODA MWINGI KWA DIGITAL EVENT.KITAMBAA YA W- ILBY  YA KICHWA ILI GRABIWA.NA WANAOTAMBAA.NILIDHANI DJ ANAPIKA CHAPO KUMBE ANA SCRATCH

a happy birthday ya bi anne,,,si aliget a digital birthday………………….surrounded na ma friends……..na PRINCIPAL SEC WAKE ,,,,na ma staff wake,,,,,,,,na malindi(malindi ni walinda security) na ma cake mob………….na cream mob sana ya cake apo……………………mbona wana say kuna glut ya milk na niliona cream mob ivyo????????????

kukawa na wimbo wa birthday…………………………………………..

kukawa na D.J KU KEEP the nyimbo going……………………….kweli d.js wanaletanga quality fulani kwa ma song!

kukawa a long night but poa all the same………………………………………….

all ni well that ends well

well sio kisima hapa

pichas will kuja soon bado ndege ya kuzileta iko msa ina ferry familia ya mazda familia……zita  kuja after ma hours????????

in muda si muda………………………..

HAPPY WEEKEND

PSALMS 86:15 (SLOW TO ANGER)

WORSHIP THE LORD YOUR GOD AND HIM ONLY SHALL YOU SERVE
MUNGU YU MWEMA
FOR HIS TENDER MERCIES ENDURE FOREVER
HAPPY ARE THOSE WHO ARE CALLED TO SHARE AT HIS TABLE

THE RIVER WALK

slow to anger

But you, O Lord, are a a God of compassion and mercy, slow to get angry and filled with unfailing love and faithfulness. (Psalms 86:15 NLT)

Read: Joshua 15, Luke 18:18-43, Psalms 86:1-17, Proverbs 13:9-10

Relate: Some people are angry at God…I mean really angry. Why? They were hurt. Maybe I’m talking about you. Maybe you were hurt, and God didn’t stop the hurt from coming. I’ve been there. We may clench our teeth and say in our hearts, “How dare he stand there in all his power and allow us to suffer!” We rage and rave shaking our fists in righteous indignation. We scream to the heavens, and we say, “Where were you? You failed me. We have all felt the sting of living: betrayal, divorce, financial struggles, abuse, death, etc. etc. etc. The world is teeming and spilling over with damaged and broken people-people whose hearts are wounded- and some of…

View original post 453 more words

humourmob/pumpkin……… in maswala ujinga?????????

mimi ni malenge na ninalenga juu
mimi ni malenge na ninalenga juu

MAONGEZI AU HUMOURMOB YA LEO NI JUU YA MALENGE.OOOOOOOOOOOOOOOOO pumpkin ooooooooo

PETROL
KWANI MIMI PUMP NINA UKOO NA MALENGE??????????????? MI SIO A GAME OOOOOOO ETI SQUASH FAMILY…………………………….si pumpkin is ov tha squash family??????????????????? i dont want to be squashed
PUMPAS
mimi as a pump siko ujamaa na pump kin

eeeeeeeeeeeeeeee pumpkin  pump-kin????????????PUMP KIN??????

pumpkin ya mshtuko wa moyo
pumpkin ya mshtuko wa moyo/scary movie????COOK THIS WITH SCARY SPICE!
budho
i am food i am from squash family.am not a game of squash i hate to be squashed i am not in kin-ship with a pump

buddha

kichwa malenge!

malenge

scary movie…………………………………………..

starring………………………………………………………..

bi scare…………………………………………………………………

scary spices
i deal in scary spices
spice world
spice da  world

humourmob/ujinga /wax

ndo uyo mtoto analia eti anataka iyo supu.u know iyo supu????????

wengine wana lilia wembe na others walilia moto ama wax

iyo supu analilia ni wax

huyu ni lomana lia-lia liandro wa ?
huyu ni lomana lia-lia
liandro wa ?
mimi ni candle. i want a candelabra mbona wanichoma kichwa??????wanichomea picha??????
mimi ni candle. i want a candelabra
mbona wanichoma kichwa??????wanichomea picha??????nita suffer from burn out !
suppu ya candle inamwagika
suppu ya candle inamwagika na kuchemka mkunywaji ndio hayuko
eti wax ni supu ya msumaa waxico
eti wax ni supu ya msumaa
waxico