
HIS LAUGH-LINESS THE NOAH……
YEYE NDIO MWENYE ILE TOYOTA NOAH KUMBEEEEEEEEEE
hapa twa celebrate-i ma viewer toka mpaka afrika kusini.may be ni huyu COMICA??????WHO KNOWZ????????
GRAB NA GRAB NA GRABBA KILA KITU
TULISEMA KO JUU ya ku grab damu……………………………….a while back………………… KATIKA humourmob/damu…………………………………………….THEN……………
then m-bunge na dokta waka grab damu toka kwa mwakenya. mwa dada. eti ipimwe.kwani m-bunge na dokta ni quantity surveyors????????
na hawana THE WEIGHTS AND MEASURES ACT SAA HIZO. AU ata a bloody LICENCE.dunder heads………….!!!!!!!!!!!!….
ata sisi apa tume grab m-singer na tuta taka ku grab wimbo moja two three kabla ya ……………………………
tuko katika harakati as if nani ni mwana harakati???????????????????? ya ku angusha wimbo ya ku DISS WACHAWI WA KAMBINI NA USORCERY YAO MOB SANA MPAKA WA GO TO HELL! wata sign the HEL-I-GO-LAND TREATY.
mara pap!
bure kabisa!grabbed!

hata kuna a tevin nzei anataka ku grab LIPS za wadada wakenya eti zinam-bore sana na ma colours……MOB SANA………………..
katika sakata ya ORCHESTRA LIP wa-LIP-wa. ASEMA eti wanakaa kama clowns……eti ana feel ako kwa lipstick jungle…………..
so WE ASK???????n’do maana he want his side ya tha law ya the jungle????????????
na akiingia kwa ESTEE LAUDER???????????atakuwa jungle au pacific ocean ya ma lipstick???????????


si a glue eyes zake ili asione wakenya na lipstick/kuna super glue noma sana for that………………..
katika sakata ta GLU-e-cause/GLU-COSE A.K.A.glueing tha eyes for a cause…..ili asione wa dada na lips zao za colours
IYO stori ya kuondoa macho ili usione vitu fulani iko kwa THE WORD OF THE LORD.emen

CHEKA.CO.KE
TUKAENDA dubai kujipimanisha na tha tallest building dunia-ny hapo nyuma to my far back……..
…………..kumbe twatoshana na the HIGHS and lows……LAWS za????????????
of course tumepeleka HUMOURMOB ndani ya KTN.hata very soon tuna taka sign ma secure info na ma siri zilizobanwa na hatusemi in public HAPA LEST ABABU (NA- ROCK) AFANYE RECODI-NG THEN one day nastukia DEN HE’S HORN-ZARI-GO amenifikia ma-langoni na ma evidence na receipt na STAKABADHI na ma recording na kila implication ya kwamba bla bla bla na hihihi na na na
LAKINI in short,,,,wa K.T.N. WANA LIKE HUMOURMOB………………..EMEN?????????????
tulizi present pale izo HUMOURMOB in broad daylight sio masaa ZA unGODLY KA saa 4 na half cast MID NIGHT ( ni cast) sio PAST……….midnight??????????whatshit?????
SASA HUMOURMOB NDANI YA KTN COMING SOON KWA TEE VEE NEAR YOU EMEN???????????
IN DUE SEASON IN DUE TIME……………………………………TIMES ZA BABA JUU HIGH……………………………
ATA TUKO NDANI YA N.B.C. UNIVERSAL STANDING IN FOR BILLS COSBY AMBAYE ANAJI SORT NA WADADA KADHA WA KADHA KWA SAKATA YA BILL BOARD BILL-ION BILL MAN BILLY JEAN!
ata tuko hapa na trevor noah kwa the daily show HAPA DOWN

NA HUMOURMOB SANA……NI MIYE WAKO MY LAUGH-NED FRIEND NOAH.