humourmob/ma humour!/na u-jeremy clarkson,ma ads,

eti masaibu ya ndugu jerry au jeremy clarkson kuchongoa wahindi na choo! AMLIVE query::::::::shood love have a limit??????????? tuta-kuwa gross na crass na trashy kama ndugu jerry beebeesee yeah!hii love ya waindi yakuchoo-cha-nisha kila mahali wana choo- cha??gives my lovely horse the trots. my lovely horse is for supplying my belovely weaves. si wape waindiContinue reading “humourmob/ma humour!/na u-jeremy clarkson,ma ads,”

HUMOURMOB/alarm clock,margarine,methali

eti waswahili walisema eti mbiu ya mgambo ikilia eti kuna jambo????????????YEAH???????? YES.KWELI ndio maana nasema mbiu ya mgambo ikiliaaaaaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ni masaa ya kwenda GAMBLING (ni ya gamblers iyo mbiu). MBIU ya mgambo ikilia…………….ni kwa casino. na ni ya kuashiria masaa ya magambo/gambling! ata kuna mbiu ingineeeeeeeeee…………NI MBIU/YU? koinange.ikilia…………….ni ya masaa ya JKL. huyu bwana lala sioContinue reading “HUMOURMOB/alarm clock,margarine,methali”

wachawi kambi-ni

acha tuendelee na visanga vya wachawi kwa kambi ya ………… somewhere in NAIROBI 1.UNaamka asubuhi unakuta wame angusha barrier ya fence wanadhani itawapa access kuingia kwa hiyo nyumba wanaimezea mate na wivu mkuu wa shetani like the failures they are…………………………………………………………..walisha fail zamani sana kuingia humo na wanaharibu nguvu zao bure badala warudi ku-roga-roga ushago kwao?????????HA!Continue reading “wachawi kambi-ni”